|
|
|
Wishing you our esteemed visitor a successful 2013!!!
Twawatakia mwaka wenye furaha na baraka wa 2013!!!
Pamoja!
Karibu kwa tovuti ya Chaguagari.com
Huduma hii imetengenezwa kukuezesha kupata mnunuzi wa gari lako na kuwasiliana naye bila ugumu wowote. Kwa sasa huduma hii haina malipo yoyote. Chukua nafasi hii kama muuza gari binafsi au kama 'dealer' na uweke picha ya gari lako lipate kuonekana. Iwapo unaazimia kununua gari Kenya, Uganda au Tanzania, huduma hii ndio unahitaji. Tafuta gari unalohitaji humu.
Karibu kwa huduma hii!
Chaguagari.com